GVTC Updates

Home | GVTC Updates

DOCUMENTS

  • Trilateral Memorandum of understanding...

    File size: 2.1 Mb

  • Transboundary Core Secretariat - Ten year...

    File size: 665 kb

  • Protocole d’entente trilatéral entre l’UWA,...

    File size: 2.1 Mb

mkutano maalumu ya inchi zinapoungana katika Congo Basin Forest Partnership(CBFP)

Tangu siku 21November hapa Kigali kumeanza mkutano maalumu ya inchi zinapoungana katika Congo Basin Forest Partnership(CBFP), yaana inchi zinapoungana katika ushirika ya misitu iliyo kandokando ya Congo. Wenyi memba wa CBFP ni wale wa kikundi yingine inapojulikana kwa jina la COMIFAC, yaani Commission of African Central Forests inapounganisha inchi kama Burundi, Cameroun, Central Africa Republic, Chad, DRC, Gabon, Guinée Equatoria, Congo Brazzavil, Rwanda, Sao Tome et Principe.
IYI mkutano ya CBFP inasaidiwa kipesa na European Union na Marekani kupitia miradi Fulani Fulani, hasa ile inayohusika na kulinda mazingira, kupiganisha mabadiliko ya tabianchi, kukinda manyama katika hifadhi za taifa mbalimbali, na kazalika.
Leo siku ya tanu ndio iyi mkutano mkuu itakomeshwa ki rasmi hapa Kigali na walioyiyandaa wataweza kupana final communiqué na matokeo mbalimbali imezaa katika hizi siku tano za mafikiri, mazungumzo na makubaliano.
Hii mkutano ina fanyika wakati mhimu kasha COP 21 ya Paris na COP 22 ya Marakech kupiganisha mabadiliko ya tabianchi ama climate change. Ni vema kuelewa ya kwamba misitu ya Congo ina maana sana hata siku za leo kulinda na kukinga mazingira katika ulimwengu, hasa siku hizi wa
Wa researchers (watafiti), viongozi wa NGOs, Wataalamu wa European Union, Amerika na Wa Afrika, viongozi wa inchi hasa ma ministers wanapouzika na mazingira, misitu katika inchi zao wengi wamekutanana haka Kigali kutatua shida Fulani Fulani katika ulinzi wa misitu na mazingira kando kando ya Congo na Ulimwengu mzima.
Sisi kama Greater Virunga Transboundary Collaboration (GVTC), ama Ushirikiano katika inchi za Rwanda, Uganda na DRC katika ulinzi wa mazingira na kukinga wa nyama katika hifadhi za taifa zile, tunashirikiana nah ii mkutano kwani ni ya maana sana, kwa sababu kulinda misitu na mazingira ya enda pamoja na ulinzi wa wanyama ya national parks katika inchi ya Rwanda, Uganda na DRC.
Kigali, 25 nov. 2016

About GVTC

Greater Virunga Transboundary Collaboration is a framework for strategic, transboundary, collaborative management of the Greater Virunga Landscape

              

Newsletter Signup

Subscribe to our monthly newsletter to get news and updates.

Contact info

Nyarutarama Road, Nyarutarma
PO Box 6626, Kigali, Rwanda
Phone : +(250) 252-580-429
Mobile +(250) 788-573-965
Email info@greatervirunga.org
Website: www.greatervirunga.org

© Copyright GVTC, All right reserved 2017.